Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Na mmeitunza sana mtani.Ila bora draw kuliko kutolewa bikra [emoji14][emoji14][emoji14]
Ila sisi Yanga ndio tutamaliza hiyo habari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mmeitunza sana mtani.Ila bora draw kuliko kutolewa bikra [emoji14][emoji14][emoji14]
Bora aiseeeee. Sababu natamani ningekuwa mwamuzi. Teh.
Hahahaaa. Nitaruka ruka sababu itakuwa hamjatuacha sana.Hawa jamaa wametushika kubaya unaeza shangaa wanaongeza bao la nne....
[emoji12] [emoji12] [emoji12] mtani siwezi kukuachia bikra yani kwako ndio nitatangazia ubingwaNa mmeitunza sana mtani.
Ila sisi Yanga ndio tutamaliza hiyo habari.
Yaani. Wameongeza dk 4 mie naziona kama nusu saaa. TehMim nataka 2 mpira uishe
Hahahaaaaaaa. Ilishakufa ile ni mwendo wa sare tu sasa.3g , 4g , 5g hii Imeishia wapi ?
Lazm ziishe ghfl kam upepoYaani. Wameongeza dk 4 mie naziona kama nusu saaa. Teh
Yaani. Wameongeza dk 4 mie naziona kama nusu saaa. Teh
Sasa hv ni Sare GHahahaaaaaaa. Ilishakufa ile ni mwendo wa sare tu sasa.
Nitakutafuta aiseee twende wote Taifa siku hiyo ukaone maajabu yatakayotokea. [emoji12][emoji12] [emoji12] [emoji12] mtani siwezi kukuachia bikra yani kwako ndio nitatangazia ubingwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Lazm ziishe ghfl kam upepo
Hivi hauishi tu!Bora aiseeeee. Sababu natamani ningekuwa mwamuzi. Teh.
Na kweli ujue. LolSasa hv ni Sare G
Siku hiyo ukinifunga nakupeleka kempsky ukapate dinner.....[emoji4] [emoji4] [emoji4]Nitakutafuta aiseee twende wote Taifa siku hiyo ukaone maajabu yatakayotokea.
Pole mtoto mzuri IreneDuuuuuh leo sare kabisaaaa[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]