Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Hahahaaaa. Yaani acha tu Mtani.

Ila upande wa shilingi naamini mpira una matokeo matatu japokuwa haya matokeo mawili ya sare na kufungwa hamkuwa mnayapa nafasi kabisaaaa.

Sababu nyie mlikuwa wazee wa 3G 4G 5G.
FACT.
 
Hahahaaa. Hivi tutakaaje au ndio utakaa upande wetu huku unatetema chini kwa chini. [emoji12] [emoji12]

Sababu ukiwa mshabiki wa Simba halafu ukakaa upande wa yanga lazima utetemeke tu na kukaa upande upande.
Kuna mzungu tulimvalisha jezi ya Simba Taifa....angekuwa mswahili angepigwa siku ile.
 
Hahahaha mkuu mi nawatazama kwa pemben ila nawakumbusha tu kuwa mwaka huku FIFA wako busy sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…