pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Weshapoteana simba ubingwa huoooo yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnara umevunjikaData Given..Simba 4G
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Hahahaaa. Halafu manara hajaonyeshwa leo sijui kwa nini sababu anajuaga kushangilia huyoo.
Simba hawajafungwa mkuu...bali wametoa sare.Yanga haijawai kufungwa 3 tangia ligi ianze.
Kwa hiyo magoli ya jana amefunga Okwi au Bocco?Simba bila Okwi, Boko inaonekana haiko competent kabisa, so! Ni hatari kwa timu kuwa dependant kiasi hicho
JamaniiiiiiiiHahahaaa. Yaani hawana hamu.
FACT.Hahahaaaa. Yaani acha tu Mtani.
Ila upande wa shilingi naamini mpira una matokeo matatu japokuwa haya matokeo mawili ya sare na kufungwa hamkuwa mnayapa nafasi kabisaaaa.
Sababu nyie mlikuwa wazee wa 3G 4G 5G.
Waache wajishaue.Yanga wasisahau wanazidiwa na Simba pointi 6.
Maana mechi na Mtibwa haijachezwa, msifanye kosa la kushinda mechi kabla haijachezwa
Daah...mbona umetuvalia kibwebwe hivyo?Hahahaaa. Yaani kila likiingia stand anachomoa lol.
Ulikuwa Mwendo wa funga ni komboe. Hahahaaaa.
Ha ha ha ha ha ha haKabisaaa. Leo mambo ni motooo.
Natamani leo ingekuwa jumapili kesho ikawa jumatatu yaani Ofisini ingekuwa raha tupu yaani.
Pole sana.Hahahaaa. Mie sina ushabiki huo Mtani. Niko vizuri huwa sauti tu ndio inakauka ila sio kuzimia.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Kabisa yaani Mtani nina furaha ya ajabu aiseee.
Sababu mlikuwa mnatambo sana.
Aisee...mmetukamiaaaaBaiskeli ya tope na ile mvua ya jana, matokeo yake ndiyo hayo
Kuna mzungu tulimvalisha jezi ya Simba Taifa....angekuwa mswahili angepigwa siku ile.Hahahaaa. Hivi tutakaaje au ndio utakaa upande wetu huku unatetema chini kwa chini. [emoji12] [emoji12]
Sababu ukiwa mshabiki wa Simba halafu ukakaa upande wa yanga lazima utetemeke tu na kukaa upande upande.
Mkuu...!Mnyama anapwaya sana, ameshindwa kurarua mtu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ombeeni kisichache au mpate chai ya moto na sharubati.Sita tu huku sisi Yanga tuna mchezo mmoja mkononi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitakutafuta aiseee twende wote Taifa siku hiyo ukaone maajabu yatakayotokea.
Dua mbaya hiyo.Hahahaaa. Nitaruka ruka sababu itakuwa hamjatuacha sana.
Hahahaha mkuu mi nawatazama kwa pemben ila nawakumbusha tu kuwa mwaka huku FIFA wako busy sanaaNi [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Pekee Ndiyo Mulio na Wasiwasi na Ubingwa Wa [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG]! Lakini sisi Mashabiki [HASHTAG]#Kindakindaki[/HASHTAG] Wa Simba Hatuna Wasiwasi Hata Kidogo Wa Ubingwa Wetu, Tena Tunachukua Bila Ya Kufungwa Mchezo Hata Mmoja.
Hahahaa. Ukiwa na mtani inabidi haya uyategemee tu kwa kweli.Daah...mbona umetuvalia kibwebwe hivyo?
Karibu Msimbazi.