[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hakiwezi chacha.Ombeeni kisichache au mpate chai ya moto na sharubati.
Dua mbaya tena. [emoji12]. Si tunasogeleana. HahahahaaaaDua mbaya hiyo.
Ahsante... Tumekubali....sie tena?Hahahaa. Ukiwa na mtani inabidi haya uyategemee tu kwa kweli.
Utaniambia dadaangu.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hakiwezi chacha.
Mjiangalie...timu yenu haina fedha halafu mnachangishana kutuhujumuDua mbaya tena. [emoji12]. Si tunasogeleana. Hahahahaaaa
Mie nipo huwa sikimbii na kama uzi utaanzishwa utaniona page ya mbele kabisa nikitia neno. Hahahaaaaa.Utaniambia dadaangu.
Ahsante... Hongera kwa ujasiri.Mie nipo huwa sikimbii na kama uzi utaanzishwa utaniona page ya mbele kabisa nikitia neno. Hahahaaaaa.
Tuombe uzima.
Hahaaa. Hatujahujumu bana.Mjiangalie...timu yenu haina fedha halafu mnachangishana kutuhujumu
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hongera kwa uchambuzi mzuri...!Hahaaa. Hatujahujumu bana.
Ndio mpira ule na mie nilimuelewa sana mchambuzi wa Azam TV jana hasa pale aliposema kwamba Simba haijawahi kutana na timu ikashambuliwa mara nyingi nyie ndio huwa mnashambulia.
Na ndio sababu yakatokea ya jana.
Asante mkuu emmyta Naona bado umekita kambi kwenye sports. Mpaka sasa siamini kilichotokea jana ila nabaki kukubali soka ndo lilivyo, hata Stand hawakuja kwa Nia ya kufungwa bali ni ushindi kivyovyote vile
Hahahaaa. Nilishaondoka ila kuna mtu aliniquote ikabidi nirudi. Teh.Asante mkuu emmyta Naona bado umekita kambi kwenye sports. Mpaka sasa siamini kilichotokea jana ila nabaki kukubali soka ndo lilivyo, hata Stand hawakuja kwa Nia ya kufungwa bali ni ushindi kivyovyote vile
Lakini naamini Simba SC tutarespond vyema gemu zijazo.
Nawashangaa wanafurahi Simba kutoka droo na Chama la Wana wakati wao hawajacheza na Mtibwa, tena ugenini.Yanga wasisahau wanazidiwa na Simba pointi 6.
Maana mechi na Mtibwa haijachezwa, msifanye kosa la kushinda mechi kabla haijachezwa