Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Mjiangalie...timu yenu haina fedha halafu mnachangishana kutuhujumu

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaaa. Hatujahujumu bana.

Ndio mpira ule na mie nilimuelewa sana mchambuzi wa Azam TV jana hasa pale aliposema kwamba Simba haijawahi kutana na timu ikashambuliwa mara nyingi nyie ndio huwa mnashambulia.

Na ndio sababu yakatokea ya jana.
 
Hongera kwa uchambuzi mzuri...!
 
Hahahaaa. Mie nipo kama Ghazwat yaani ile jana hakukimbia hata tulikuwa naye mpaka mwisho.

Heshima kwako Mkuu Ghazwat.
Asante mkuu emmyta Naona bado umekita kambi kwenye sports. Mpaka sasa siamini kilichotokea jana ila nabaki kukubali soka ndo lilivyo, hata Stand hawakuja kwa Nia ya kufungwa bali ni ushindi kivyovyote vile

Lakini naamini Simba SC tutarespond vyema gemu zijazo.
 
Hahahaaa. Nilishaondoka ila kuna mtu aliniquote ikabidi nirudi. Teh.

Inabidi tu uamini Mtani wangu Ghazwat sababu ndio Soka hilo.Na siku zote timu ambazo huwa hazifikiriwi kutoa upinzani zikiamua kuchachamaa zina chachamaa haswa.

Na kujipa moyo muhimu mtani sababu saa nyingine Soka halitabiriki.
 
Yanga wasisahau wanazidiwa na Simba pointi 6.

Maana mechi na Mtibwa haijachezwa, msifanye kosa la kushinda mechi kabla haijachezwa
Nawashangaa wanafurahi Simba kutoka droo na Chama la Wana wakati wao hawajacheza na Mtibwa, tena ugenini.
 
Back
Top Bottom