Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

asante kwasii mechi ijayo acheze namba 9 anafunga sana
 
Mzamir anakwenda, anajaribu kupita katikati. lakini anafanyiwa faulo na mchezaji wa Stand United
 
Simba kama kama kawa kama dawa, tunategemea muendelee kutupa rahaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mmh. Pachaa. [emoji17] [emoji17].

Kwa nini ukawa huko lakini?.

Ila usijali pacha endelea kupata raha.
Pacha nakupenda huko acha kabisaaaa, tena kesho navaa kajezi kanguu
 
15 ' Stand wanakwenda kumuona Manula, lakini anakaa vizuri na kuokoa
 
Mayanga anapewa kadi ya njano. Kwa upande wa Stand United
 
Mavugo oooo.. Lakini anachelewa na golikipa kuwahi mpira na kudaka
 
Okwi na Bocco.. Kocha Pierre kasema hawako vizuri kwa mchezo wa leo.
Au itakuwa ndio wamewekwa reserved kwa ajili ya mechi na wale waarabu. Kocha ameangalia ameona timu ya stendi ni level za akina Gyan na Mavugo[emoji23] [emoji23]
 
22' Goooooooooaaal Mavugo anaandika bao la pili. Kazi mzuri kutoka kwa Shomari Kapombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…