Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Mavugo anajaribu kumpita Ally. Lakini Ally anamfanyia Faulo na kupewa kadi ya njano
 
Hatariiiii kuleeeeee, Kotei anaokoa
 
41 ' Kona Goooooooooaaal inakwenda moja kwa moja na kuandika bao la pili upande wa Stand United

Simba SC 2-2 Stand United
 
Goo gooo lalaaaa Offside upande wa Simba
 
mikia fc tuliwatanguliza na baskeli ya udongo
 
simba anabebaga kombe? hiyo mikono ya kushikia kombe katoa wapi
 
Stand United wameanza kujiamini na kuacha kujilinda hapa uwanja wa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…