Kila la heri Stand United Chama La wana
kabisaaa adui tunamuombea njaaLeo Kaka Mkeka wetu hauchaniki. Hahahaaa.
Yeah mkuunaona unajitokeza kwenye matukio tu mkuu
Kabisaaaaaa. Yaani.kabisaaa adui tunamuombea njaa
Soma ubao mkuu.
mpira ni dakika90leo tunae huyu alikutana na mbao haikupakwa dawa mchwa ukala sasa leo wazee wa stand tunambeba kwenye bus na kumshusha porini akakimbize nyani na ngili mjini sio mahala pake
Usiondoke jaman bakia tuone watu wanavyokatwa mikia[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
ha ha ha haleo tunae huyu alikutana na mbao haikupakwa dawa mchwa ukala sasa leo wazee wa stand tunambeba kwenye bus na kumshusha porini akakimbize nyani na ngili mjini sio mahala pake
mpira ni dakika90
Umehamia kwa mkopo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kila la heri Stand United Chama La wana
niko hapa namsikiliza Makini Mwalimu KashashaKabisaaaaaa. Yaani.
Hahahaaa. Nilikuwa najipitisha watani zangu Ghazwat na Barafu ya moto wanione baada ya goli la pili la stand. Teh.Usiondoke jaman bakia tuone watu wanavyokatwa mikia
kidoogo sanaUmehamia kwa mkopo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]