Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

45 ' mpira ni mapumziko hapa uwanja wa Taifa. Timu zote zikitoshana nguvu kwa magoli mawili kwa mawili.
 
hutakiwi kumdharau adui alieamua vita aisee hata kama wewe una mwili kama mlinzi wa diamond na wewe unakamwili kama ka Joti unatakiwa kupambana kabisa huku ukijua unapigana na mwanamme mwenzio.
Sasa simba baada ya bao mbili wakaanza madharau matokeo yake ndo hayo
 
kama unashabikia arsenal na simba jana usiku umeangalia kwa shida na huu nao unaangalia shida aisee hapa ndo utajua dunia haiko sawa.
 
Back
Top Bottom