Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora aisee. Sasa Simba wana kazi ya kulinda hilo goli wasirudishe. Nishakuwa bored tayari
hii shughuli imeshaingiliwa na masai sasa, 3-3???Hahaha
Naongea na wewe Dada [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mh Dada unaongea na mm au
Joseverest, zeshchriss na radika njooni huku leo mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Mtani analo.
3 - 3Wadau matokeo mpk sasa ni ngap kwa ngap.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maswali gani hayo
Pole sana Mtani. Leo kazi mnayo.Aiseee simba bila okwi na boko.... tunakuwa simba pori sasa [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]leo ndo leo basketball ipo huku
Kwani bocco na okwi ni mabeki au viungo ?Aiseee simba bila okwi na boko.... tunakuwa simba pori sasa [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Hahaaa. Kumbe weye muoga eeeee.hahaaha nlikimbia kimbe tunawaweza hawa leo
We jamaaa kwa hii hapana aseeehii shughuli imeshaingiliwa na masai sasa, 3-3???
Ya 73Dakika ya ngapi kwani
Dakika ya ngapiPole sana Mtani. Leo kazi mnayo.
Hahaaa. Kumbe weye muoga eeeee.
Tuwatanie wakishinda halafu wakaja na povu hatuwajibu tunawapa likes tu. Hahahaaaa.