Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Hizi timu nyingine ni size ya Yanga tu. Kuzikutanisha na Mnyama ni kutafuta kuzidhalilisha halafu simba ionekane haina adabu
 
Stand United mapema wameanza kujilinda. Hivyo kutoa fursa Simba kutawala mchezo
 
Jamani wengine tupo kwenye basi tunaomba updates ingawa najua Simba lazima ishinde tu leo
 
Mpira wa adhabu kuelekea Stand. Inapigwa na kuokolewa
 
Jamani wengine tupo kwenye basi tunaomba updates ingawa najua Simba lazima ishinde tu leo
28' Simba SC 2-0 Stand United. Simba wametawala mchezo sana baada kuanza mapema kujilinda hivyo Golikipa Aishi akiwa likizo
 
woyooo simba piga hao wapiga debee.........dadeki muhindi keshakoma tayari
 
Stand wanapata kona. Inapigwa konaa na kuokolewa na Simba
 
Blaise anapiga shuti na kutoka nje
 
Move aliyocheza Kapombe, akipokea pasi kutoka kwa Kichuya na kumpatia Mavugo atupie kambani hakika waweza ombea mkopo benki yeyote, na ukapewa bila riba
 
36 ' Gooooaaal Stand United wanapata bao kupitia Kwa Tariq Seif baada gonga safi
 
Pumbavu, hawa Wapiga debe wasije kufanya kama yale ya Mwadui.
 
Back
Top Bottom