Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly Mkuu. Azam FC ndo kulikuwa na tegemeo la kushika usukani lakini Mtibwa Sugar wakasema hapana hiyo kitu.Kwa matokeo ya usiku wa Leo, inamaanisha kila kitu kipo kama Awali. Maana hawa waheshimiwa wametoa sare wrote yaani 1-1 kwa Simba, Yanga Mtibwa na Azam. Aliyefaidika ni Singida pekee.
Matokeo ngapi ngapi kwani
Lwandamina mtamu wachezaj wachache aliokuanao anawatumia vzr sana,,huyu jamaa ni mtaalam sana wa soka