Vodacom Premier League, Simba Sports Club yatoka sare na Lipuli FC uwanja wa Uhuru 26/11/2017

sionagi tofauti yake na Laudit.
Tuna tatizo la kocha si mchezaji. Ndo maana kuna mnazi mwenzako kasema huyu Mavugo kama anakwenda kwenu atakuwa na goli 20.
 
Kwa matokeo ya usiku wa Leo, inamaanisha kila kitu kipo kama Awali. Maana hawa waheshimiwa wametoa sare wrote yaani 1-1 kwa Simba, Yanga Mtibwa na Azam. Aliyefaidika ni Singida pekee.
 
Kwa matokeo ya usiku wa Leo, inamaanisha kila kitu kipo kama Awali. Maana hawa waheshimiwa wametoa sare wrote yaani 1-1 kwa Simba, Yanga Mtibwa na Azam. Aliyefaidika ni Singida pekee.
Exactly Mkuu. Azam FC ndo kulikuwa na tegemeo la kushika usukani lakini Mtibwa Sugar wakasema hapana hiyo kitu.

Simba SC sare,
Azam FC sare, Yanga FC sare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…