Vodacom Premier League: Singida United yashindwa kufurukuta dhidi ya Simba SC, kwa kufungwa goli 1 - 0 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Vodacom Premier League: Singida United yashindwa kufurukuta dhidi ya Simba SC, kwa kufungwa goli 1 - 0 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

45+3' kuelekea kuwa mapumziko Uwanja wa Sheikh Amir Abeid VPL

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba wanatoka kifua mbele wakiongoza kwa bao moja bila dhidi ya Singida Utd

Singida United 0-1 Simba SC
 
Kuna mpya gani huko Kirumba..hapa mambo poa Mnyama Gooal...NguvuMoja
FB_IMG_1572184543769.jpeg
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

47' Kona inapigwa kuelekea Singida Utd, Ajibu anapiga, lakini Singida wanaosha ule mpira
 
Hao Wanyaturu lazima wakojozwe bao 3 ndio Mnyama atulie. Simba Nguvu Moya
 
Mwale wa Singida anapiga mpira unatoka nje na kuwa goal kick, faida kwa Simba SC

Singida United 0-1 Simba SC
 
Wawa wa Simba SC anakosa kuipatia Simba bao..Ilikuwa hatari lango la Singida United

55' Singida United 0-1 Simba SC
 
Ndemla anapiga shutiiiii. Lakini golikipa anatokea na kudaka ule mpira Ooops
 
60' Mpira ni goal kick kutoka lango la Simba SC inapigwa mbele na Aishi wanakimbilia washambuliaji wa Simba na mabeki wanakaa vema


Golikipa wa Singida Utd yupo chini anapatiwa matibabu baada kupata rabsha.
 
66' Mpira hauna kasi sana kutoka na timu zote kucheza kwa tahadhari hasa kutokana Uwanja si rafiki kwa timu zote..!
 
Hawa yanga sijui waliwaza nini kupeleka mechi mwanza, !! Yaani uwanja umewashinda wenyeji hahahahaha
 
Back
Top Bottom