Vodacom Premier League 'VPL' Alliance FC Vs Simba SC, Furaha Kwa Wanasimba Uwanja wa Kirumba

Vodacom Premier League 'VPL' Alliance FC Vs Simba SC, Furaha Kwa Wanasimba Uwanja wa Kirumba

Kama kawaida simba tunaendelea na jambo letu hapo ccm Kirumba.
 
69' Shiboub goooo laaaaaaaaaa, anakosa bao hapa, ilikuwa nafasi ya kuandika bao
 
Kagereeeeeee, doooooooooh anakosa nafasi ya kufunga bao la 4 hapa,

Alliance FC 1-3 Simba SC
 
Back
Top Bottom