Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Ila we Chura wa Kihansi huna shukrani aiseee. Yaani badala ya kutushukuru kuwa tumempunguzia Azam kasi ili Kwasukwasu FC yako iweze kumfikia na kukamata no.2 kwenye msimamo wa VPL,wewe unaanza kung'aka upuuzi gani?
Nafasi ya upili yanga wataipatia wapi kama kila sehemu kumeshindiliwa misumari isiyong'oka?

It's Scars
 
Huyu mfungaji alishakuwa offside muda mrefu tu lakini mwamuzi hakuashiria offside kwa kuwa kwa wakati huo alikuwa haingilii mchezo wala hanufaiki kwa kuwapo kwake pale. Alipokuja kumalizia rebound, hapo ndipo aliponufaika na uwepo wake katika offside position, na mwamuzi alikuwa makini anamfuatilia, akafanya uamuzi sahihi wa kukataa goli

1583356690660.png
 
Ongea ukweli tu usilete ushabiki maandaz Simba Bado kisoka ukiachana na mazingira ya mbeleko
Mkuu punguza mapovu uongee kwa hoja.Ukisema Simba bado kisoka unatakiwa uweke reference point. Yawezekana bado kisoka ukilinganisha na Sevilla, sasa ongea kwa hoja, hasira na uoga weka kando kwanza
 
Boli matata/ simba inasakata/
pata fleva tamu ukimix na kashata....../

ukimzuia luis atakufunga kahata/ Hii ndo simba iliyomtoa samata/ vyura hamuonekani mmezima na data..../

It's Scars
Umetisha ka Kahata..../
Kwenye biti umenata.../
Haters wamefyata....../
Jpili tunawapakata...../
Nadhani wananipata../
 
Mtu ambaye anasononeka ni MO licha ya kuwekeza fedha nyingi/Mabilioni bado anahitaji fedha nyingi ili kuhonga waamuzi ili timu ishinde mechi za ligi. Sasa itahitajika atumie fedha nyingi zaidi simba ikishiriki michuano ya Caf ili kuinusuru na vipigo vya goli tanotano.Mashabiki wa Mbumbumbu fc wao leo wanafurahia ushindi wa kutengenezwa hawajui kwenye mashindano ya Caf watalia na kusaga meno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kwa uchungu sana
Pole sana
 
Andika wosia kabisa maana nyie muhamala fc lazima mzimie kama sio kufariki hiyo J2.
uko sahihi kabisa,wapige hata 3 ifanywe sub bench zima liingie tutunze kikosi cha Yanga. Yanga wanaleta mazoea ya kijinga sana
kabisa
 
Ashinde kwa halali siyo huo uharamia wanaoufanya.
 
Go
71' Kagereeeeeeee Goooooooooooooooooooaaal Gooaaal

Maddie Kagere anaandika bao la tatu akipata Mpira maridhawa wa krosi kutoka kwa Shomari Kapombeeee

Azam FC 2-3 Simba SC
Goli LA linesmen hilo tumeliona
 
Back
Top Bottom