inapigwa soka ya kuburudisha,kila mtu amekubali bila kujali itikadi ya uSimba na uYangaLuis Miquissone anahesabu, kwake Deo kanda, kwake Chama aaaaaah
Simba wanatawala eneo la Azam
Wakiendelea kuwapa wakati mgumu mabeki wa Azam
Hadi sasa Simba wamecheza pasi million mbili na themanini na sita elfu dhidi ya nne walizopiga azam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwamba wanacheza mpira Bali kariba ya timu wanazo kutana nazo umaskin umejaa mwingi na pia timu ya Simba ukiikamata katika kiungo hakuna kitu pale aiseeeSimba inacheza Mpira wadau, tuache unazi hawa Wachezaji sasa wamejua thaman yao ndani ya timu. Kwa moyo mkunjufu nitapokea matokeo yoyote tu, lkn Simba raha sana Ubingwa Lazima.
uko sahihi kabisa,wapige hata 3 ifanywe sub bench zima liingie tutunze kikosi cha Yanga. Yanga wanaleta mazoea ya kijinga sanakwanini simba wasiongeze magoli japo yafikie manne, ili tufanye sub ya hawa viungo wetu muhimu wasije kuumia tukakosa kuona kandanda safi hiyo tar. 8?
kwanini simba wasiongeze magoli japo yafikie manne, ili tufanye sub ya hawa viungo wetu muhimu wasije kuumia tukakosa kuona kandanda safi hiyo tar. 8?
TFF wamekurupuka, huwezi ukasema wachezaji wasisalimiane kwa kushikana mikono wakati muda wote uwanjani wanagusana.
Si kwamba wanacheza mpira Bali kariba ya timu wanazo kutana nazo umaskin umejaa mwingi na pia timu ya Simba ukiikamata katika kiungo hakuna kitu pale aiseee
kilicho akilini kitumie
Wewe utakuwa na mtindio wa akili siyo kwa post hiii. Siyo kila mtu anaweza kushabikia Mpira waweza kushabikia hata Taarabu, over.Si kwamba wanacheza mpira Bali kariba ya timu wanazo kutana nazo umaskin umejaa mwingi na pia timu ya Simba ukiikamata katika kiungo hakuna kitu pale aiseee
kilicho akilini kitumie
Tunaomba azamu tv wasikilize maombi yetu, watuwekee Chanel maalumu Kwa ajili kuionesha Simba pekee, na kifurushi chake waweke hata laki poa tuuu! Sio Kwa burudani hii aiseeinapigwa soka ya kuburudisha,kila mtu amekubali bila kujali itikadi ya uSimba na uYanga
uko sahihi kabisa,wapige hata 3 ifanywe sub bench zima liingie tutunze kikosi cha Yanga. Yanga wanaleta mazoea ya kijinga sana
yani hichi kikosi kwa kucheza soka safi namna hii, tunauwezo wa kumpiga yanga 6-0 ili heshima iwepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaah umeua mkuu