Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Kipindi cha kwanza kimeisha wacha tugeuza kanda tuangalie nini kinajiri upande wa pili

It's Scars
 
45+ 1'

Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Taifa

Naaaaaaam mpira ni mapumziko dakika 45 zilikuwa bora sana kwa Wekundu wa Msimbazi ambapo mpaka sasa wapo mbele ya mabao mawili kwa moja

VPL, HT; Azam FC 1-2 Simba SC
 
Simba inacheza Mpira wadau, tuache unazi hawa Wachezaji sasa wamejua thaman yao ndani ya timu. Kwa moyo mkunjufu nitapokea matokeo yoyote tu, lkn Simba raha sana Ubingwa Lazima.
Si kwamba wanacheza mpira Bali kariba ya timu wanazo kutana nazo umaskin umejaa mwingi na pia timu ya Simba ukiikamata katika kiungo hakuna kitu pale aiseee

kilicho akilini kitumie
 
Pascal Wawaaaaaaaa, mpira unagonga mwamba, ilikuwa hatari eneo la Azam na ilikuwa free kick iliyopigwa

Naaam kipindi cha pili kimeanza
 
Back
Top Bottom