Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Pambano limeanza Uwanja wa Taifa safari ya dakika 90 mfululizo wa,VPL

Vikosi vya pande mbili vya Azam FC vs Simba SC


IMG_20200304_190606_485.jpeg
IMG_20200304_190552_098.jpeg
 
01' Shambulizi moja kutoka Azam FC baada ya Chilunda kumpa pasi mpenyo kwa Chirwa ambaye shuti lake linadakwa na golikipa Manula
 
05' Never Goooooooooooooooaaal

Azam FC wanaandika bao la kwanza kupitia kwa Never Tigere baada piga nikupige lango la Simba

Azam FC 1-0 Simba
 
Aisee hali hii ikiendelea itaigharimu timu
 
Hayaaaaaaaaa Simbaaaaa hahahahaha Deo Kandaa Simba 2 Azam 1
 
Hii Simba hii dah Hapa Chama Hapa Kanda Hapa Kahata Hapa Miquissone dah Shadeeya Ukipata hata sare tar 8 Naacha kuishabikia Simba.
 
Back
Top Bottom