Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Wadada wanamimina maji kumtafuta Chirwa, anatokea Wawa Pascal anaosha mpira na kupiga mbele
 
Hahaha hahaha Chama ni kiumbe hatari sana daah
 
Luis Miquissone anahesabu, kwake Deo kanda, kwake Chama aaaaaah

Simba wanatawala eneo la Azam
Wakiendelea kuwapa wakati mgumu mabeki wa Azam
 
40' Katikati ya Uwanja kwake Mkude anapiga pembeni kwake Kahata, Kahata anamtafuta Luis Miquissone

Anapinga mbeleee, anakataa Agrey Moris

Azam FC 1-2 Simba SC
 
Back
Top Bottom