Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

50' Nadoooo Goooooooooooooooooooaaal

Azam FC wanasawazisha kupitia wa Idd Nado

Azam FC 2-2 Simba SC
 
52' Nafasi kwa Simba kusaka ushindi haya sasa mpira anao Kahata kwake Luis inapigwaaaaaa golikipa Razak anadaka bila wasiwasi
 
Agrey Moris ameonyeshwa kadi ya njano upande wa Azam FC

Huku golikipa Razak akifanya kazi ya ziada kuokoa shuti ambalo almanusura lijae wavuni
 
Boccooooo anakosa, ilikuwa nafasi kwa Simba, ambapo John Bocco ameshindwa kumalizika krosi safi kabisa

Azam FC 2-2 Simba SC
 
Kipindi cha pili kina mashambulizi kwa pande zote huku kila timu ikitafuta nafasi ya kuandika bao

Azam wameamka sasa dakika hizi
 
Raphael ametoka, na ameingia Frank Domayo

Wakati huo Simba wanakosa bao kwa Chama kupaisha mpira baada ya gonga ya hapa na pale
 
71' Kagereeeeeeee Goooooooooooooooooooaaal Gooaaal

Maddie Kagere anaandika bao la tatu akipata Mpira maridhawa wa krosi kutoka kwa Shomari Kapombeeee

Azam FC 2-3 Simba SC
 
Back
Top Bottom