Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Naona mmemnyonga mnyonge wenuKwa kikosi hiki, Azam washindwe wenyewe kumchinja mnyama!
Hapa ndo uwezo wa wazawa!Kuna wachezaji wa simba wakikosekana mechi inakua hovyo sana ..
Dilunga anafanya nini mle?Toa gadiel , Kagere
Wewe ndio hujui mpiraHuyu Duchu hajui mpira