Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Dah ila kapitch cha Azam katamu😁😁😁 unaweza kulia na Utopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mmemnyonga mnyonge wenuKwa kikosi hiki, Azam washindwe wenyewe kumchinja mnyama!
Hapa ndo uwezo wa wazawa!Kuna wachezaji wa simba wakikosekana mechi inakua hovyo sana ..
Dilunga anafanya nini mle?Toa gadiel , Kagere
Wewe ndio hujui mpiraHuyu Duchu hajui mpira