kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Azamu wamekata matangazo ya timu ya simba ili tuangalie timu ya Azam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ushindi mwembamba mnoFT Simba 1 Lipuli 0......mpira umekwisha
Muhimu ponit 3, ngoja tuwasubiri wazee wa kupanda juu ya mpira
Una roho ngumu....wenzio wote wamekimbia.... we bado upo ?