Vodacom Premier League VPL' Lipuli FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Samora Iringa

Vodacom Premier League VPL' Lipuli FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Samora Iringa

Kagere kichwa mpira umegonga mwamba,Dk 45 still 1 kwa Simba na Lipuli 0 , Dk 2 zinaongezwa.
 
90+2' Kagere anapigaaa kichwa hatari, hatari goo goo laaaa njeeeee

Wakati wowote mpira unamalizika uwanja wa Samora, huku Simba wakiongoza..!
 
90+2'
Naaaaaaam mpira umekwishaa Uwanja wa Samora, ambapo Simba SC wanaibuka kwa ushindi wa bao moja bila majibu dhidi ya Lipuli FC

Bao la Simba limewekwa kimiani na Nahodha John Bocco dakika 23'

VPL, FT: Lipuli FC 0-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom