Vodacom Premier League 'VPL' Mbao FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa CCM Kirumba

HD asante sana.. huu uwanja haya maamuzi ndio yanafaa.
Mwageni krosi nyingi , punguzeni kulemba hasa Chama
 
hii mechi nilijua simba lazima wanunue hii mechi, kuna mchezaji wa mbao ni ndugu yangu kaniambia simba wamewaahidi milioni 2 kila mchezaji wa mbao kama watawaachia. TFF na TAKUKURU fanyieni kazi hii taarifa, Simba wanashinda kwa rushwa. mpira wa bongo upumbavu mtupu ndio maana kimataifa hatufiki mahali
 
46' Jonas Gerald Mkude kona imepigwa na Ibrahim Ajib Kadabra Mizkovich wa Migomba shemeji yake Mariam wa Migomba
 
47' Goooooooooooooooooooaaal gooooal

Simba wanaadika bao la pili kupitia kwa Mkude kufuatia mpira wa kona uliochongwa na Ibrahim Ajibu

Mbao FC 0- [emoji460][emoji460] 2 Simba SC
 
kama kawida Mpesa hiyo ina fanya kazi yake apoo, bila Mpesa simba ni wepesi mmno kuliko hata mwakaleli fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…