Vodacom Premier League 'VPL' Mbao FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa CCM Kirumba

Vodacom Premier League 'VPL' Mbao FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa CCM Kirumba

Simba wanakwenda sasa Chama, kwake Shiboub, Chama tena lakini mlinzi Husein anakaa vizuri na kudhibiti hatari ile.

Mbao FC [emoji460] 1- [emoji460][emoji460] 2 Simba SC
 
Sven ana roho ngumu, mpaka muda huu no sub
 
  • Thanks
Reactions: Lee
simba wanajiangusha kupoteza muda, halafu ndio wanataka kushindana kimataifa na tp mazembe? hahaha ujinga huu hawa simba ni wa hapa hapa hata GOR MAHIA hawawezi kuwafunga.
 
45+4' kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL

Naaaaaaaaaaaaaaam Mpira Umekwishaaaaaa Uwanja wa Kirumba Simba SC wakiibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja yakiwekwa kimiani na Hassan Dilunga na Jonas Mkude na lile la Mbao FC likifungwa na Wazir Junior

Kwa matokeo haya, yameifanya Simba SC kujikita kileleni kwa alama 38 kwa michezo 15

FT: Mbao FC [emoji460] 1- [emoji460][emoji460] 2 Simba SC

.....Ghazwat
 
Back
Top Bottom