Nawe unataka wakufanyie muamala?kama kawida Mpesa hiyo ina fanya kazi yake apoo, bila Mpesa simba ni wepesi mmno kuliko hata mwakaleli fc
[emoji1787][emoji1787] Kwako mwalimu kashasha
Tuadamanerushwa, rushwa,rushwa, aibu sana simba wanashinda kwa kutegemea rushwa kuwafurahisha mashabiki wao, hii TFF ni kama tawi la simba.
Usisahau kunitumia ya heinekenn [emoji847][emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzuri mkishinda nakula pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu si na nyinyi mkatoe rushwa kwa ni shilingi ngap 🤔🤔rushwa, rushwa,rushwa, aibu sana simba wanashinda kwa kutegemea rushwa kuwafurahisha mashabiki wao, hii TFF ni kama tawi la simba.