Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kwa hiyo wapo 2-2?Goooooooooooooooooooaaal, Wazir Junior wa Mbao FC anasawazisha baada ya mabeki wa simba kushindwa kuondosha hatari
Mbao FC [emoji460] 1- [emoji460][emoji460] 2 Simba SC
rushwa, rushwa,rushwa, aibu sana simba wanashinda kwa kutegemea rushwa kuwafurahisha mashabiki wao, hii TFF ni kama tawi la simba.
Yanga jana ilishindwa kujiangusha kupoteza muda hadi wakaliwa 3simba wanajiangusha kupoteza muda, halafu ndio wanataka kushindana kimataifa na tp mazembe? hahaha ujinga huu hawa simba ni wa hapa hapa hata GOR MAHIA hawawezi kuwafunga.
simba wanajiangusha kupoteza muda, halafu ndio wanataka kushindana kimataifa na tp mazembe? hahaha ujinga huu hawa simba ni wa hapa hapa hata GOR MAHIA hawawezi kuwafunga.
Kama Yanga walivyomtuliza Kagera 3-0!simba wanajiangusha kupoteza muda, halafu ndio wanataka kushindana kimataifa na tp mazembe? hahaha ujinga huu hawa simba ni wa hapa hapa hata GOR MAHIA hawawezi kuwafunga.