Vodacom Premier League 'VPL' Mbao FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa CCM Kirumba

Vodacom Premier League 'VPL' Mbao FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa CCM Kirumba

Anapigaaaa Boccooooo, golikipa anaunyaka bila wasiwasi, ilikuwa hatari kwa Mbao FC

Mbao FC 0-0 Simba SC
 
Mwamuzi anamzawadia Mkude kadi ya njano kwa mchezo
 
45+3' kuelekea kuwa mapumziko Simba wakiwa mbele kwa bao moja

Naaaaaaam mpira ni mapumziko huku Simba wakitangulia kwa bao safi lililofungwa na Dilunga Hassan

Mbao FC 0-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom