Hii ndio raha ya utani wa jadi,sio kila siku mlie nyie tu..na ndio Soka lilivyo..ndo mkome kelele mbwa koko wa kkoo mnaojiita simba
Mashabiki wa Simba tuacheni kelele,Porojo,Maneno maneno ya kanga timu yetu ni ya kawaida sana,na tuna wachezaji wa kiwango cha kawaida mno.
Mwadui kama UD Songo vileKumbe tusiwe tunawacheka Yanga na sisi ni walewale tu hatuna lolote kazi porojo.
Leo walikuwa wanatest mitambo kuona kama wanaweza kushinda bila Mo kutanguliza muamala. Jibu wamepata!
Mirembe umetoka lini?Kweli zile takwimu za watanzania wengi ni vichaa ni za kweli
Kwahiyo Leo kakatwa mtu bikra tutarajie siku chache zinazo fuata atakua jamvi LA wageni90+5' Mpira Mpiraaa umekwishaaaaaa uwanja wa Kambarage, Simba wamepoteza kwa bahati mbaya
FT: Mwadui FC 1-0 Simba SC
Ile kauli ya Dr.Msola kuwa yanga kuna wapuuzi wengi inadhihirikaMirembe umetoka lini?
Uchebe atuachie timu yetu.Kocha aache kumbeba manula benchi linamstahili anatugharimu sana kwa makosa madogo madogo ambayo kila siku yanajirudia
Kwahiyo sasa kashakatwa mtu bikra90+5' Mpira Mpiraaa umekwishaaaaaa uwanja wa Kambarage, Simba wamepoteza kwa bahati mbaya
FT: Mwadui FC 1-0 Simba SC
Kufungwa hakuna sababu.. hili ni soka na haya ndio matokeo.Shenss zao Simba wanapigwa na watoto wadogo. Sasa sisi tukaeje huku mtaani. Kujiamini kwa Mambo ya kipumbavu.
Banter is a two way activity. Give and accept without taking it personal. Are you mad or what?Ile kauli ya Dr.Msola kuwa yanga kuna wapuuzi wengi inadhihirika
Ile kauli ya Dr.Msola kuwa yanga kuna wapuuzi wengi inadhihirika
Mkuu kupoteza leo unaongea hv..?Kumbe tusiwe tunawacheka Yanga na sisi ni walewale tu hatuna lolote kazi porojo.
Tulifungwa na mbao waarabu wakafia kwa mkapa achana na tm changa ya pyramidMwadui wangekuwa makini simba ingekufa ata kwa goli tatu. Sasa najiuliza mmefungwa na mwadui wanaolipwa mshaara wa laki nne mngekutana na pyramids mshaara wa mchezaji mmoja milioni 120 kwa mwezi simngepigwa dozen? Kuku wa kijani nyie.
πππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kwahiyo Leo kakatwa mtu bikra tutarajie siku chache zinazo fuata atakua jamvi LA wageni