Vodacom Premier League 'VPL' Mwadui FC yaituliza Simba SC kwa kuichapa kwa goli 1 - 0

Vodacom Premier League 'VPL' Mwadui FC yaituliza Simba SC kwa kuichapa kwa goli 1 - 0

Kocha aache kumbeba manula benchi linamstahili anatugharimu sana kwa makosa madogo madogo ambayo kila siku yanajirudia
 
Shenss zao Simba wanapigwa na watoto wadogo. Sasa sisi tukaeje huku mtaani. Kujiamini kwa Mambo ya kipumbavu.
Kufungwa hakuna sababu.. hili ni soka na haya ndio matokeo.
Tunajipanga game nyingine.
 
Mwadui wangekuwa makini simba ingekufa ata kwa goli tatu. Sasa najiuliza mmefungwa na mwadui wanaolipwa mshaara wa laki nne mngekutana na pyramids mshaara wa mchezaji mmoja milioni 120 kwa mwezi simngepigwa dozen? Kuku wa kijani nyie.
Tulifungwa na mbao waarabu wakafia kwa mkapa achana na tm changa ya pyramid
 
Kagereeeeeeeeee! Ila Mwadui waana roho mbaya! Siyo kwa mpira ule aisee. Kagere kwa dk zote 90 aliishia kurukaruka tu kule mbele kama panzi.

Tunataka ligi ya aina hii, siyo timu fulani ijione yenyewe ina uwezo wa kushinda kila mechi huku ikiwategemea Wabrazil wake koko. Mpaka dk ya 90, Mwadui fc 1 - Mbumbumbu fc 0.
 
Back
Top Bottom