Vodacom Premier League (VPL) Ruvu Shooting vs Simba SC Uwanja wa Uhuru, show ya hatari

Vodacom Premier League (VPL) Ruvu Shooting vs Simba SC Uwanja wa Uhuru, show ya hatari

05' Mpira umeanza kwa mashambulizi makali huku Simba SC wakifika zaidi ya mara tatu lango la Ruvu dhidi ya mara moja

Ruvu Shooting 0-0 Simba SC
 
15' Anakwenda Sadat anapigaaaaa lakini golikipa Manula anaokoa hatari ile, ilikuwa hatari

Mabao ni bila kwa bila Si Ruvu wala Simba
 
23' Shuti la Dilunga, golikipa wa Ruvu anapangua na kuwa Kona

Inapigwaaaaaa Konaaaa inakolewa
 
30' Simba wanashambulia lango la Ruvu huku nao wajibu kwa kidogo kidogo

Ruvu Shooting 0-0 Simba SC
 
Namna gani hapa mbona wachezaji wa Ruvu wanaanguka..wanaleta janja ya kupoteza muda au...!
 
40' Goooooooooooooooooooaaal gooooooooooooaal

Miraji Athumani anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa kichwa akipokea krosi safi kutoka kwa Shomari Kapombe upande wa kulia.

Ruvu Shooting 0-1 Simba SC
 
Emmanuel Martin anakosa bao, daaah ilikuwa hatari lango la Simba SC
 
Faida za kupenda SIMBA SPORTS CLUB ,

1)kunaongeza vitamin Q,,hii vitamin ni ya furaha,[emoji23]2)unakua ni mtu wa kujiamini muda wote kama alivyo mnyama simba,
3)kunaondoa gundu,,yani kwenye maisha yako yote anakua huna nuksi,
3)unakua mtu wa maendeleo kama ilivyo timu husika,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
45+2' Kuelekea kuwa mapumziko VPL

Kona, inapigwaaa konaaaaaaa hatari na Kahataaa inakolewa na kuwa kona nyingine, inapigwaaa tena kwenye lango la Ruvu, lakini refa anasema ni faulo

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba SC wanatoka wakiwa mbele ya bao moja bila majibu.

HT: Ruvu Shooting 0-1 Simba SC
 
Faida za kupenda SIMBA SPORTS CLUB ,

1)kunaongeza vitamin Q,,hii vitamin ni ya furaha,[emoji23]2)unakua ni mtu wa kujiamini muda wote kama alivyo mnyama simba,
3)kunaondoa gundu,,yani kwenye maisha yako yote anakua huna nuksi,
3)unakua mtu wa maendeleo kama ilivyo timu husika,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kongole mkuu[emoji119] SimbaNguvuMoja
 
Back
Top Bottom