HahahahaKama ilivyokuwa kwa Wakongo walivyoanza, ni Ndombolo kwenda mbele[emoji23][emoji23]
42 min Simba 1 Ruvu 0 update hiyo.Eti eeee? Ulete updates basi.
Naona goli limekuleta Mtani. Haya ni dakika ya ngapi sasa?42 min Simba 1 Ruvu 0 update hiyo.
Simba 1 ruvu 0Eti eeee? Ulete updates basi.
hahaha nimetoka ishaNaona goli limekuleta Mtani. Haya ni dakika ya ngapi sasa?
Kongole mkuu[emoji119] SimbaNguvuMojaFaida za kupenda SIMBA SPORTS CLUB ,
1)kunaongeza vitamin Q,,hii vitamin ni ya furaha,[emoji23]2)unakua ni mtu wa kujiamini muda wote kama alivyo mnyama simba,
3)kunaondoa gundu,,yani kwenye maisha yako yote anakua huna nuksi,
3)unakua mtu wa maendeleo kama ilivyo timu husika,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]