"Tungekuwa";Duuh!! Inakuwaje tena ?
😂😂😂Mkuu huyu kocha hana mechi 2 mbele atatuachia timu tu.
Oyooooooooo40' Goooooooooooooooooooaaal gooooooooooooaal
Miraji Athumani anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa kichwa akipokea krosi safi kutoka kwa Shomari Kapombe upande wa kulia.
Ruvu Shooting 0-1 Simba SC
Sijaelewa hapa Mtani?"Tungekuwa";
Oyooooooooooo46' Goooooooooooooooooooaaal Goooooaaaal
Tairone Santos anapiatia Simba SC bao la pili kufuatia mpira wa Kona iliyopigwa.
Ruvu Shooting 0-2 Simba SC
Nilimaanisha kuna nafasi mbili za wazi walizikosa Hawa Ruvu shootingSijaelewa hapa Mtani?
Oooh!! Sawa MtaniNilimaanisha kuna nafasi mbili za wazi walizikosa Hawa Ruvu shooting
First half wangekuwa makini wangekuwa wametutangulia mbele kwa bao 2_1
Kiongozi nan katupiaGooogooool, Simba 3-0 Ruvu
Na hicho ndicho nilicho kitabiriGooogooool, Simba 3-0 Ruvu