Vodacom Premier League (VPL) Simba SC dhidi ya Biashara United, Uwanja wa Taifa

90+4' Anakwendaaaa chamaaaaaa, mpira unagonga mlingoti, ilikuwa hatari kweli kweli

Wakati huo ametoka Miquissone ameingia Dilunga

Na ametoka Bocco ameingia Kennedy
 
90+3'

Wakati wowote mpira utakwishaa kuanzia sasa

Kwake Dilunga anakimbia kwa kasi kwenda mbele, lakini mpira unakuwa mrefu, anashindwa kuuwahi..

Naaaaaaam mpira umekwishaaaaa ambapo Simba SC wakiibuka kidedea kwa jumla ya mabao matatu kwa moja

Yakiwekwa kimiani na Luis Miquissone 35' Maddie Kagere 68' Francis Kahata 88' huku la Biashara likifungwa na Novatus Dismas 71'

VPL, FT: Simba SC 3-1 Biashara Utd
 
Shukrani kwa apdates zako,Kaka shukrani sana,mungu akujalie upate hela za kutosha kwenye utaftaji wako,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wouzeeeeer [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Huyo mpiga viwiko....ni mhuni mmoja ambaye aweza kuaribu vizazi vyetu vya soka baadae....mkitaamaki .... wahuni wapiga ngeta za mbao mtaaani wamejaa kisa wanaegelezea 'viwiko' vya uyo jamaa....HALAFU CV yake nyingine ni ...mwizi au nimesikia vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…