Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanateseka sanahabari mbaya kwa vyura FC
Huwezi kuwaona hapa, siku hizi wanaitwa ni wazee wa sare sare.
Shukrani kwa apdates zako,Kaka shukrani sana,mungu akujalie upate hela za kutosha kwenye utaftaji wako,Wakati wowote mpira utakwishaa kuanzia sasa
Kwake Dilunga anakimbia, lakini unakuwa mrefu
Naaaaaaam mpira umekwishaaaaa ambapo Simba SC wakiibuka kidedea kwa jumla ya mabao matatu kwa moja
Yakiwekwa kimiani na Luis Miquissone, Maddie Kagere, Francis Kahata huku la Biashara likifungwa na Dismas 71'
VPL, FT: Simba SC 3-1 Biashara Utd
Sare fc kesho anavunja mwiko wa hilo jina,anapigwa goli 2 na coastal!😅nawaona sare fc wanavyouchungulia uzi afu wanapita juu kwa juu..... ivo kwa akili zenu mlijua tunafungwa na biashara?? Ovyo kweli nyie🤣🤣🤣🤣😊
😂😂😂😂😂😂Sare fc kesho anavunja mwiko wa hilo jina,anapigwa goli 2 na coastal!
Wouzeeeeer [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]90+3'
Wakati wowote mpira utakwishaa kuanzia sasa
Kwake Dilunga anakimbia, lakini unakuwa mrefu
Naaaaaaam mpira umekwishaaaaa ambapo Simba SC wakiibuka kidedea kwa jumla ya mabao matatu kwa moja
Yakiwekwa kimiani na Luis Miquissone 35' Maddie Kagere 68' Francis Kahata 88' huku la Biashara likifungwa na Dismas 71'
VPL, FT: Simba SC 3-1 Biashara Utd
Wakati huo huo luis miquison anafunga magoli ya kiwango cha dunia... hapo ndo utajua tofauti yetu sisi na waoMorison amefikishwa kwenye kamati ya maadili ya TFF kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji was Tz Prisons. Natumaini kamati hamtaniangusha. Nina imani sana na ninyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Luis aongezwe mshahara,anatumbuiza