Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
1. Kagere nadhani kuna namna anakosea au ndiyo turning point imefikia. Hana tena yale makali yake aliyoanza nayo wakati anaingia Tz, pengine umri umeanza kuongea. Bahati mbaya Simba hawana striker mbadala wake. Hata goli alilofunga leo hakustahiki, mpira ulikuwa ukielekeo wavuni bila hata ya kuguswa na hakukuwapo na beki wa Biashara ambaye angeweza kuokoa.90+4' Anakwendaaaa chamaaaaaa, mpira unagonga mlingoti, ilikuwa hatari kweli kweli
Wakati huo ametoka Miquissone ameingia Dilunga
Na ametoka Bocco ameingia Kennedy
Unajuaga sana kuninyanyasa Mtani. Haya hongera.Shadeeya timu ya viwango vya dunia Simba sc ipo mawindoni leo kusaka points 3.
Simba nguvu moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Morison kaingiaje hapa Mtani? 😳Kumbe Morrison alipotoka ni Kibaka? Aliwahi kuvishwa mpaka Tyres ili kuchomwa Moto lakini akaokolewa na Jeshi la polisi.
Manara kawaharibu sana nyie watani zangu.😅nawaona sare fc wanavyouchungulia uzi afu wanapita juu kwa juu..... ivo kwa akili zenu mlijua tunafungwa na biashara?? Ovyo kweli nyie🤣🤣🤣🤣😊
Sasa Morison kaingiaje hapa Mtani? 😳
Oooh. Na jana Mkude alifanya nini? 😀Kaingia kule Sare Sare FC anakopiga Viwiko alivyokuwa anapigia Roba.
😅😅 una moyo wa chuma.. umekuja😮 wenzako wanapita juu kwa juu...Manara kawaharibu sana nyie watani zangu.
Sababu si mipasho hii Mkuu. 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Tunazijua tabia zenu hivyo ka mie wala sikuwaza kama mnaeza fungwa na Biashara.
Sijafikiaga hizo level za kuogopa kiasi hiyo aisee.😅😅 una moyo wa chuma.. umekuja😮 wenzako wanapita juu kwa juu...
Wew hata uendani kuwa mshabiki wa kwasukwasu nakushangaa tu, njoo Simba bala laoSijafikiaga hizo level za kuogopa kiasi hiyo aisee.
Uwiiii!!Wew hata uendani kuwa mshabiki wa kwasukwasu nakushangaa tu, njoo Simba bala lao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia Msimbazi kwakweli Shadeeya mtoto mzuri ufurahie kushabikia Soka.Uwiiii!!
Hii hongera imekaa kinyonge sanaUnajuaga sana kuninyanyasa Mtani. Haya hongera.
Ghazwat anatisha kama Luis yupo active mpaka inakera.Ghazwat mwaka huuu Mooo Awards kwenye Kipengele cha amsha Amsha za Mitandaoni lazima uingie kwenye chekeche. Yaaani mpaka sasa Umeleta Live Game zote za VPL. Nakusihi ujitahidi uendelee hivi hivi ulete game nyingine zote 14 zilizosalia utakuwa umekula Bingo mkuuu, kaza buti maaana Miaka ya Nyuma OKWBOBANSUNZU ndiye alikuwa kinara lkn kwa sasa, Ghazwat ni noma.
Shukrani kwa apdates zako,Kaka shukrani sana,mungu akujalie upate hela za kutosha kwenye utaftaji wako,
Sent using Jamii Forums mobile app