Vodacom Premier League (VPL) Simba SC dhidi ya Biashara United, Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League (VPL) Simba SC dhidi ya Biashara United, Uwanja wa Taifa

1582400052939.png
 
90+4' Anakwendaaaa chamaaaaaa, mpira unagonga mlingoti, ilikuwa hatari kweli kweli

Wakati huo ametoka Miquissone ameingia Dilunga

Na ametoka Bocco ameingia Kennedy
1. Kagere nadhani kuna namna anakosea au ndiyo turning point imefikia. Hana tena yale makali yake aliyoanza nayo wakati anaingia Tz, pengine umri umeanza kuongea. Bahati mbaya Simba hawana striker mbadala wake. Hata goli alilofunga leo hakustahiki, mpira ulikuwa ukielekeo wavuni bila hata ya kuguswa na hakukuwapo na beki wa Biashara ambaye angeweza kuokoa.
2. Chama anacheza vyema lakini finishing yake ni very poor na anapoteza mipira mingi sana kwenye final third. Aanzishwe Dilunga badala yake. Kahata is extremely nice.
2. Manula hata kama anafungwa lakini anamzidi Kakolanya by far. Manula anafanana na kazi anayofanya, But Kakolanya looks too local, not aggressive to the required level. Na inaonekana Kakolanya kama vile yuko inferior, pengine kwa sababu yeye ni underdog ukilinganisha na wachezaji wote wa simba kwa sasa. Na tujue pia kwamba Simba wameanza kupata ubingwa baada ya wachezaji waliokuwa Azam kuja simba. Manula, Kapombe, Nyoni, Wawa, Boko. Usitarajie kumwacha Manula nje halafu ushinde, NO.
 
😅nawaona sare fc wanavyouchungulia uzi afu wanapita juu kwa juu..... ivo kwa akili zenu mlijua tunafungwa na biashara?? Ovyo kweli nyie🤣🤣🤣🤣😊
Manara kawaharibu sana nyie watani zangu.

Sababu si mipasho hii Mkuu. 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Tunazijua tabia zenu hivyo ka mie wala sikuwaza kama mnaeza fungwa na Biashara.
 
Manara kawaharibu sana nyie watani zangu.

Sababu si mipasho hii Mkuu. 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Tunazijua tabia zenu hivyo ka mie wala sikuwaza kama mnaeza fungwa na Biashara.
😅😅 una moyo wa chuma.. umekuja😮 wenzako wanapita juu kwa juu...
 
Ghazwat mwaka huuu Mooo Awards kwenye Kipengele cha amsha Amsha za Mitandaoni lazima uingie kwenye chekeche. Yaaani mpaka sasa Umeleta Live Game zote za VPL. Nakusihi ujitahidi uendelee hivi hivi ulete game nyingine zote 14 zilizosalia utakuwa umekula Bingo mkuuu, kaza buti maaana Miaka ya Nyuma OKWBOBANSUNZU ndiye alikuwa kinara lkn kwa sasa, Ghazwat ni noma.
 
Ghazwat anatisha kama Luis yupo active mpaka inakera.
 
Asante sana mkuu NAWATAFUNA kwa kuniombea dua mujarabu sana hii, nami nasema Mungu atufanyie wepesi wote hapa kwa kila jambo na kila ambaye amelike ile Comment yako, na wote ambao wanashiriki katika kupeana kinachojiri team Mnyama Jf akina sembo OKW BOBAN SUNZU King Ngwaba Shunie na Troisieme Ceil Raynavero Mtoto halali na hela Van pebles mmteule Viol na wengine wengi tunaoshirikiana nao.

Pia shukrani kwao watani zetu Sibonike Laki Si Pesa Shadeeya Frank Wanjiru na wengine..!

Tupo pamoja michezo ni burudani na si uadui..Mungu atubariki sote InshaAllah.
Shukrani kwa apdates zako,Kaka shukrani sana,mungu akujalie upate hela za kutosha kwenye utaftaji wako,

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20200223_112920_131.jpeg
 
Back
Top Bottom