Vodacom Premier League (VPL) Simba SC dhidi ya Biashara United, Uwanja wa Taifa

Linapokuja suala la SIMBA SC huyu sembo ndiye aliyekuwa kiboko yao hapa JF lakini sijui amefikwa na nini shabiki huyu wa Simba kindakindaki.

Yani akileta Uzi wa Simba basi mbwembwe zake tu unaweza ukasema Simba wanacheza Ligi Kuu ya Uengereza.
 
WanaSimba wenzangu Suala la Mwenzetu SEMBO kupotea hapa Jukwaani zaidi ya Mwaka na zaidi linatia Shaka sana, mimi binafsi nimeanzisha Uzi maalumu hakujitokeza hadi sasa. Hivi kwanini Mods kwakuwa wanamawasiliano yetu wasitupe uhakika, kwani tunapendeka tukiwa wazima humu jamvini au kuna Usiri mpaka Mauti.
Haiwezekani Wadau tunaochati nao hapa Akina Gentamycine, Gide, Shadeeya, Ghazwat, OKW BOBAN nk wasiwepo jukwaan zaidi ya mwaka tusipate fursa ya kujuzwa pindi tunapowatafuta pasipo mafanikio. Sembo popote ulipo kila akheri
Linapokuja suala la SIMBA SC huyu sembo ndiye aliyekuwa kiboko yao hapa JF lakini sijui amefikwa na nini shabiki huyu wa Simba kindakindaki.
Yani akileta Uzi wa Simba basi mbwembwe zake tu unaweza ukasema Simba wanacheza Ligi Kuu ya Uengereza.
 
Mkuu sembo kuna mambo yanamkeep busy lakini yupo na mara ya mwisho alikuwepo September game ya Yanga Vs Zesco, mimi binafsi aliniaga kwa kuniambia hivyo.

Ondoa hofu mkuu..tunamtarajia kurejea hivi soon, pamoja sana kama WanaJF kukumbukana.
 
usimsahau sembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…