Vodacom Premier League (VPL) Simba SC dhidi ya Biashara United, Uwanja wa Taifa

Ghazwat mwaka huuu Mooo Awards kwenye Kipengele cha amsha Amsha za Mitandaoni lazima uingie kwenye chekeche. Yaaani mpaka sasa Umeleta Live Game zote za VPL. Nakusihi ujitahidi uendelee hivi hivi ulete game nyingine zote 14 zilizosalia utakuwa umekula Bingo mkuuu, kaza buti maaana Miaka ya Nyuma OKWBOBANSUNZU ndiye alikuwa kinara lkn kwa sasa, Ghazwat ni noma.

Linapokuja suala la SIMBA SC huyu sembo ndiye aliyekuwa kiboko yao hapa JF lakini sijui amefikwa na nini shabiki huyu wa Simba kindakindaki.

Yani akileta Uzi wa Simba basi mbwembwe zake tu unaweza ukasema Simba wanacheza Ligi Kuu ya Uengereza.
 
WanaSimba wenzangu Suala la Mwenzetu SEMBO kupotea hapa Jukwaani zaidi ya Mwaka na zaidi linatia Shaka sana, mimi binafsi nimeanzisha Uzi maalumu hakujitokeza hadi sasa. Hivi kwanini Mods kwakuwa wanamawasiliano yetu wasitupe uhakika, kwani tunapendeka tukiwa wazima humu jamvini au kuna Usiri mpaka Mauti.
Haiwezekani Wadau tunaochati nao hapa Akina Gentamycine, Gide, Shadeeya, Ghazwat, OKW BOBAN nk wasiwepo jukwaan zaidi ya mwaka tusipate fursa ya kujuzwa pindi tunapowatafuta pasipo mafanikio. Sembo popote ulipo kila akheri

Mkuu sembo kuna mambo yanamkeep busy lakini yupo na mara ya mwisho alikuwepo September game ya Yanga Vs Zesco, mimi binafsi aliniaga kwa kuniambia hivyo.

Ondoa hofu mkuu..tunamtarajia kurejea hivi soon, pamoja sana kama WanaJF kukumbukana.
 
Ghazwat mwaka huuu Mooo Awards kwenye Kipengele cha amsha Amsha za Mitandaoni lazima uingie kwenye chekeche. Yaaani mpaka sasa Umeleta Live Game zote za VPL. Nakusihi ujitahidi uendelee hivi hivi ulete game nyingine zote 14 zilizosalia utakuwa umekula Bingo mkuuu, kaza buti maaana Miaka ya Nyuma OKWBOBANSUNZU ndiye alikuwa kinara lkn kwa sasa, Ghazwat ni noma.
usimsahau sembo
 
Back
Top Bottom