Vodacom Premier League VPL' Simba SC dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa

Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Taifa

Dakika ya 48' beki wa Kagera Sugar anaonyesha kadi ya njano kwa kumchezea vibaya Bocco
 
58' Kazi ipo kwa Nyoso upande wa Kagera Sugar na kazi ipo vilevile kwa Pascal Wawa wa Simba..!kuhakikisha wanaokoa hatari zote

VPL, Simba SC 0-0 Kagera Sugar
 
Kagereeee Simba 1 kagera sugar 0
 
Bocoooooo anakwendaaaa..Penaltiiiiiii

Simba wanapata penati baada ya Nahodha Bocco kuchezewa rafu eneo la box (yaani 18....!)
 
61' Anakwenda kupiga Maddie Kagere..Anapigaaaa Goooooooooooooooooooaaal Goooaaal

Maddie Kagere MK 14 anaandika bao kwa mkwaju wa penati baaada ya Bocoo kuangushwa eneo la hatari

VPL, Simba SC 1-0 Kagera Sugar
 
Simba wanapata bao hapa, mk14 anaweka mpira kambani kwa mkwaju wa penalty baada ya Boco kuchweza madhambi na kipa Tinoco wa kagera sugar
 
Huku niliko Tanesco wana wivu hatari...nahisi mkata umeme atakua mshabiki wa vyura..
 
Kahata anakwenda sasa, lakini Ally Shomari anakataa

Inapigwa ndefu upande kwake Luis anakimbia nacheza mpira ule, huku refa anasema ni faulo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…