kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Bruce lee mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kelele zetu kwa kocha zimesadia....sasa uhakika kushinda game zote upo
penati ya kiuonevu refa kahongwa pumbavu sana simba.
Punguza makali mkuu [emoji119][emoji23]Zile mbwa zinazokamia mechi ya Simba SC alama ngapi?
Ahsante sana kwa apdates,90+ 3'
kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL
Mwalyanzi anapiga ndefu kumtafuta Awesu, lakini Simba wanaunasa kwake Wawa, anasambaza pasi kwa Chama, kwake Kahata, kwake Kapombe, mpira unachezwa eneo la kati, unamkuta Shiboub...!
Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwishaaaaaa Simba wakiibuka na ushindi wa bao moja bila majibu dhidi ya Kagera Sugar
Bao likiwekwa kimiani na Maddie Kagere kwa mkwaju wa penati baada ya Nahodha John Bocco Kuangushwa eneo la hatari
VPL, FT: Simba SC 1- 0 Kagera Sugar
Wenu kutoka Team JF Mnyama Ghazwat....
Ahsante kwa ushauri mkuu si unajua midadi + furaha ya matokeo ya leo.
Boko kachezewa faulo ndani ya 18, refa katoa penati lakini kipa aliyecheza hiyo faulo amemuacha bila kumuonesha kadi ya njano!!!! Hii sio hujuma?Shangaaa sasa
Kwa nini usizungumzie Yanga kwenda klabu bingwa, ila unazungumzia Simba kwenda klabu bingwa? Ni kwamba umekata tamaa ya ubingwa?Mmemaliza mashine zote afu mkapata kagoli kamoja tena ka penati? Nina hakika mkienda kule khamsa zitawahusu tu! Ligi ya kichovu hutoa bingwa mchovu!
Ni kweli Mkuu, hasa wale jamaa waliocheza na Polisi ndio wanaoifanya hii Ligi iwe ya kichovu.Mmemaliza mashine zote afu mkapata kagoli kamoja tena ka penati? Nina hakika mkienda kule khamsa zitawahusu tu! Ligi ya kichovu hutoa bingwa mchovu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment yako inaonesha jinsi gani umekata tamaa,yaani umetafuta chakuponda umekosa una tafuta kisababu cha ajabu eti tumemaliza mashine zote ,sasa hizo mashine ni wachezaji wa Polisi au?Mmemaliza mashine zote afu mkapata kagoli kamoja tena ka penati? Nina hakika mkienda kule khamsa zitawahusu tu! Ligi ya kichovu hutoa bingwa mchovu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule walishalala tatu bila hatuna deni tena kwaoMmemaliza mashine zote afu mkapata kagoli kamoja tena ka penati? Nina hakika mkienda kule khamsa zitawahusu tu! Ligi ya kichovu hutoa bingwa mchovu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmemaliza mashine zote afu mkapata kagoli kamoja tena ka penati? Nina hakika mkienda kule khamsa zitawahusu tu! Ligi ya kichovu hutoa bingwa mchovu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hapa amekubali Simba kuna MASHINEComment yako inaonesha jinsi gani umekata tamaa,yaani umetafuta chakuponda umekosa una tafuta kisababu cha ajabu eti tumemaliza mashine zote ,sasa hizo mashine ni wachezaji wa Polisi au?