Vodacom Premier League VPL' Simba SC dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League VPL' Simba SC dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa

Bruce lee mwenyewe
images.jpg
 
90+ 3'

kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL

Mwalyanzi anapiga ndefu kumtafuta Awesu, lakini Simba wanaunasa kwake Wawa, anasambaza pasi kwa Chama, kwake Kahata, kwake Kapombe, mpira unachezwa eneo la kati, unamkuta Shiboub...!

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwishaaaaaa Simba wakiibuka na ushindi wa bao moja bila majibu dhidi ya Kagera Sugar

Bao likiwekwa kimiani na Maddie Kagere kwa mkwaju wa penati baada ya Nahodha John Bocco Kuangushwa eneo la hatari

VPL, FT: Simba SC 1- 0 Kagera Sugar

Wenu kutoka Team JF Mnyama Ghazwat....
Ahsante sana kwa apdates,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmemaliza mashine zote afu mkapata kagoli kamoja tena ka penati? Nina hakika mkienda kule khamsa zitawahusu tu! Ligi ya kichovu hutoa bingwa mchovu!

Comment yako inaonesha jinsi gani umekata tamaa,yaani umetafuta chakuponda umekosa una tafuta kisababu cha ajabu eti tumemaliza mashine zote ,sasa hizo mashine ni wachezaji wa Polisi au?
 
Back
Top Bottom