Vodacom Premier League VPL' Simba SC dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa

Ally Shomari ametoka, ameingia Mwita, upande wa Kagera

Simba wanaliandama lango la KAGERA SUGAR, huku mabeki wao wakijitahidi kuokoa

Simba SC 1-0 Kagera Sugar
 
Zawadi anampasi mpira kwake Muhilu Yusuf, anaunasa Nyoni, wanamiliki Simba sasa
 
74' Kagere anapiga shuti la juu anatokea Boccooo anagonga kichwaaa gooooo laaaaaaaaaa mpira unagonga mwamba na kurudi

Ilikuwa nafasi kwa Simba kuandika bao la pili
 
79' Luis Miquissone ametoka na ameingia Dilunga, upande wa Simba

Upande kulia kwake Kapombe lakini wakati huo huo Bocco anaonyeshwa kadi ya njano

VPL, Simba SC 1-0 Kagera Sugar
 
Ametoka Nahodha Bocco na ameingia Shiboub, upande wa Simba SC

Dakika 85' za mchezo, anarusha mpira Tshabalala mbele, lakini Nyoso anaosha, unarudi tena lango la kagera kwake Kagereee njeeee
 
90+ 3'

kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL

Mwalyanzi anapiga ndefu kumtafuta Awesu, lakini Simba wanaunasa kwake Wawa, anasambaza pasi kwa Chama, kwake Kahata, kwake Kapombe, mpira unachezwa eneo la kati, unamkuta Shiboub...!

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwishaaaaaa Simba wakiibuka na ushindi wa bao moja bila majibu dhidi ya Kagera Sugar

Bao likiwekwa kimiani na Maddie Kagere dakika 61' kwa mkwaju wa penati baada ya Nahodha John Bocco Kuangushwa eneo la hatari

VPL, FT: Simba SC 1- 0 Kagera Sugar

Wenu kutoka Team JF Mnyama Ghazwat....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…