Huyu refa fala sanaHivi refa ametumia sheria gani kutompa kipa yellow card? Nauliza tu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ref Kaja na matokeo
Hapa unazungumzia kila mtu akiwa anshinda mechi zake.Bado mechi 9 kati ya 15 simba kuwa mshindi wa pili na 10 kati ya 15 kuwa bingwa
Kweli, Yaani Ligi hii hata chura anajinasibu atachukua ubingwa ni ya kichovu mnoMmemaliza mashine zote afu mkapata kagoli kamoja tena ka penati? Nina hakika mkienda kule khamsa zitawahusu tu! Ligi ya kichovu hutoa bingwa mchovu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmemaliza mashine zote afu mkapata kagoli kamoja tena ka penati? Nina hakika mkienda kule khamsa zitawahusu tu! Ligi ya kichovu hutoa bingwa mchovu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu nistue[emoji23]Vyura walimaliza makapi yao yote dhidi ya haohao na wakala 3 kavu, hata la kuokotea hawakupata. Kweli ligi ya kichovu
Sent using Jamii Forums mobile app
22/02/2020 na biashara pale jijiniKituo kinachofuata ni wapi na lini?
Nashukuru Mkuu