Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Uhuru

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Uhuru

Ingekua mechi ya ndondo watu tushaenda kufukua golini kwa prison tukaone hicho kinacho
 
Wachezaji wa Prison wapo chini..Wakiwa na ile mbinu ya kupoteza muda katika dakika hizi za jioni
 
45+7' Mtanange wa kukata na shoka milango ikiwa bado ni migumu huku Prison wakiweka ukuta kama wote.

Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
 
Wakati wowote mpira utakwishaa

Naaaaaaam dakika tisini za mpira huu wa VPL zimekwishaaa uwanja wa Uhuru, ambapo Simba SC na Tanzania Prisons wametoka sare ya bila kwa bila..Wenuuuuuuu..Ghazwat

FT: Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
 
Wakati wowote mpira utakwishaa

Naaaaaaam dakika tisini za mpira huu wa VPL, zimekwishaaa uwanja wa Uhuru ambapo Simba SC na Tanzania Prisons wametoka sare ya bila kwa bila..Wenuuuuuuu..Ghazwat

FT: Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
Sema dk tisini na nane au tisa zimekwisha na Mlungula Fc wamepata sare......!! Shimbwa vipi!?
 
Back
Top Bottom