Goooaaaaaal Chama anafumua shuti kali... Simba 1 0 prison
NGO ma nzito kwa simba.
Ndio maana mlungula umegoma kupenyaKwa hiyo kwa Prison ngoma nyepesi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umehamia lini huko kwa wajelajela..Utavumilia mpaka mwisho? NguvuMoja
Sema dk tisini na nane au tisa zimekwisha na Mlungula Fc wamepata sare......!! Shimbwa vipi!?Wakati wowote mpira utakwishaa
Naaaaaaam dakika tisini za mpira huu wa VPL, zimekwishaaa uwanja wa Uhuru ambapo Simba SC na Tanzania Prisons wametoka sare ya bila kwa bila..Wenuuuuuuu..Ghazwat
FT: Simba SC 0-0 Tanzania Prisons