Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
hahaha .... bado mechi ijayo simba ifungwe muanze kumtukana kocha uchebe, ni suala la muda tu mtamtimua huyo mzungu wenu
Endeleeni kufuatilia ya Zahera tuuWhat if Simba ikifunga kwenye hiyo mechi?
Mko busy na Zahera mnasahau hata kuandaa timuView attachment 1256709
Endeleeni kufuatilia ya Zahera tuu
Unaelewa maana ya timu?Kati ya Simba Sc na Yanga ni timu gani inatakiwa iandaliwe? Na timu inaandaliwa na nani?
Yanga hatuwezi kukesha kujadili mambo ya Mbumbumbu bint Bi Hindu. Tunawajua jinsi mlivyo, matatizo ya Manji mlifuatilia mpaka mkasahau ya kwenu,lakini Sisi wala hatukuwa na muda na swala la MOIli yatusaidie nini? Hakuna anayefuatilia ya Zahera, kinacho endelea ni watu kutoa mitazamo yao kuhusu kufukuzwa kwa Zahera kwa sababu ndio Current issue, baada ya wiki watu wanasahau maisha yanaendelea. Ni sawa na ninyi ikitokea leo Ausiems kama atafukuzwa lazima mtajadili tu. Tusidanganyane hapa
Kunywa maji utulie wewe, unaonekana una hasira sana.kwa kweli simba ni genge la matapeli yaliyo kubuhu kazi yao kutuharibia football letu Tz, ona lile jizi lingine yaani limepewa dhamana jana tuu tena kimizengwe mizengwe leo hii lipo jukwaani likishuhudia litim lake la ovyo ovyo likikoswa koswa
Teh teh tehKafukuzwa Zahera Yanga pengo linaonekana Simba
Ajibu hakuna mchezaji pale Simba walimsajili kwa mihemko ya ManaraLile Gundu la Ajibu ndio linaanza sasa
Nimewasikia wachambuzi wa Azam Sport wamesema yafuatayo;Mwadui walicheza hivihivi kama wanavyocheza Prisons leo na wakafanikiwa Kocha wa Simba hana Plan B kwa timu inayocheza Defensive Game.
Namkubali 100/100 maana aliwapangua wachezaji 6 wa Simba mpaka pale alipochezewa madhambi na Mkude bila hivyo alikuwa anaenda kumchambua Manula na kufunga goli.Nadhani Mkandala wa Prison ni a player to watch. Ana sifa nyingi kichezea hata timu ya Taifa. Mnasemaje?