Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka saa nyingine kumbe we ni Mtabiri mzuri sana yaani.Ila hawa prisons hawa...ngoja tuone kipindi cha pili! Isije ikawa sare ya kwanza...
Ndio hivyo. 🚶♀️🚶♀️Aisee 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄
🤣🤣🤣 Wakaongezwa dkk 07 lakini wapi. 🤣🤣Bana hivyohivyo prisons
Hahahaaa!!! Nipo ndugu japo mida ya jioni nakuwaga busy na mambo mengine.Wapi dada shadeeya, kitabu chetu cha dua umesahau shinyanga? Hawa watafukuza kocha na mo kabisa.
Ujue nacheka tu hapa Mtani. 😀😀😀. Umejua kutangaza mwenyewe.Gooooo laaaaaaaa, Kagere anakosa nafasi ya wazi kuipatia Simba bao..wakati huo huo golikipa wa Prisons yupo chini baada ya kupata rabsha.
Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
😀😀😀 Yaani siku zinavyozidi kusonga mjini kunakuwa tulivu kabisa.NGO ma nzito kwa simba.
Hahahaa. Yaani zile porojo zao ooo tunashinda mechi zote hazipo tena na hata ya kwamba hawapati suluhu haipo tena.Safi sana mikia ubingwa joto linizidi kupamba moto
Nakazia Mkuu.Hahaaaa leo walisahau kupulizia sumu, wameanza kupumulia mashineee, mdogo mdogo tutaheshimiana tuu
Watamchukua kipenzi chao cha sasa ZAHERA. 😀😀😀hahaha .... bado mechi ijayo simba ifungwe muanze kumtukana kocha uchebe, ni suala la muda tu mtamtimua huyo mzungu wenu
Wako busy kukalikuleti kiasi alichotumia zahera kwa Yanga.😀😀Mko busy na Zahera mnasahau hata kuandaa timuView attachment 1256709
Hahahaaa. 🤔🤔🤔🤔Sio mbaya sana tutajipanga mechi zijazo kuhakikisha tunapata ushindi.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Pole.Inaumiza!
Nimesikitika sana leo.Kunywa maji utulie wewe, unaonekana una hasira sana.
Huu ni mpira
Simba nguvu moja
Swahiba naona umeibuka na mapwenti. 😀😀 Akili kubwa umetumia hapo Swahiba. 👏👏Kafukuzwa Zahera Yanga pengo linaonekana Simba
Shem itakuwa haipenyi Miamala siku hizi.Unaona eeeehhh.....Muamala FC.
😀😀😀 Yaani siku zinavyozidi kusonga mjini kunakuwa tulivu kabisa.
Hivi Mkuu umewaona wapi hawa OKW BOBAN SUNZU na King Ngwaba . Wanajuaga kuota bana yaani vile vimechi wanavyojua wanashinda ndio utawaona.
Ila hizi Konki wanakimbia kabisa. 😀😀
HahahaaaHahahaaa. 🤔🤔🤔🤔
Ngoja nimuite na huyu Mtani mwingine naye tujue ana kauli gani ya kujifariji na yeye Sanchez magoli. 😀😀